Makala
HAIJALISHI ULIANZAJE,NAKUOMBEA UMALIZE MWAKA 2025 KWA USHINDI MKUU.
| Makala

HAIJALISHI ULIANZAJE,NAKUOMBEA UMALIZE MWAKA 2025 KWA USHINDI MKUU.
Nakuombea Madhabahuni mwana wa Mungu - Ahadi zake alizokuahidi kwenye neno lake,zitimie maishani mwako.
Usijiulize sana kuhusu muda mchache uliobaki,kumbuka Mungu uliyenaye ni Mungu wa Ishara na Miujiza,naye anaweza akatenda lolote kwa wakati wowote bila kuzingatia muda unaoutazama wewe.
Siku hizi na miezi hii iliyobaki nakuombea ikawe ni zamu yako kushuhudia kwa macho yako kabisa kile Mungu anachokutendea maishani mwako.
Pastor Innocent Mashauri
+255 758 708804
SADAKA